Adorn M. Yona Maarufu kama DON4SUDO Alikua Blood Member wa WG (Wabishi Gang) Alikua Ni Rapper Chipukizi Na hiki ndicho kibao chake cha mwisho Akiwa na MT pamoja na GOD Nyimbo inaitwa NIGGAS
DON4SUDO Alizaliwa Tarehe 21 Apr 1993 Mjini Musoma na Amefariki Tarehe 20 Feb 2017
R.I.P
Don4sudo,Mt & God-Niggaz [New Song]
Reviewed by SHIJA TWISTI
on
February 23, 2017
Rating: 5
No comments
Post a Comment