Miss Mara 2017 Mshindi kapatikana jumamosi julai 8-matukio zaidi bofya hapa
SHINDANO la kumtafuta mrembo wa mkoa wa Mara,Miss Mara 2017 lililofanyika siku ya jumamosi ya julai 8 kwenye ukumbi wa Dream Garden Resort ambapo warembo wanaoshiriki shindano hilo kila mmoja ali
tamba kuibuka na taji hilo na kuuwakilisha mkoa wa Mara kwenye mashindano ya kanda na kitaifa na kuutangaza vyema mkoa wa Mara katika masuala ya urembo
Mshindi wa mashindano ya miss Mara ainaitwa
ASMA SALUM
UMRI NI MIAKA 21
Mshindi wa kwanza PHOTOGENIC
MAGRETH DENIS
UMRI MIAKA 18
Le Grand Hotel mahala tulivu warembo walipoweka kambi
ENDELEA KUWA NASI KWA KUKUJUZA ZAID ALICHO KIFANYA MPOKI NA BENPOL
No comments
Post a Comment