AUDIO | P The Mc Ft Ngwair – Mademu Wangu Remix | Mp3 Download [New Song]
AUDIO | P The Mc Ft Ngwair – Mademu Wangu Remix | Mp3 Download [New Song],,,,“Baada ya hayati Ngwair kufanya wimbo uitwao MADEMU WANGU, kwa heshima yangu kwake nikapendekeza kurudia wimbo huo kwa kutumia mashairi yangu, kwa bahati nzuri uongozi wa Bongo Records chini ya P Funk umeridhishwa na kazi yangu hivyo kunipa Go Ahead. Mixing imefanywa na mtayarishaji Palla. Ahsanteni na naomba muupokee”
No comments
Post a Comment